user avatar
Kifefe
@AnnanMarck
Mwebrania
Kisangani DRC/ Tel Aviv
Joined May 2020
Posts
  • user avatar
    Hakuna lisilo mwisho huu upumbavu wa @tanpol na samia mZanzibari utakwisha
  • user avatar
    Replying to @MariaSTsehai and @SuluhuSamia
    Jana tar 3 kuna mfanya biashara kahamisha gari 70 zenye usajiri wa tanzania kuingia congo na yeye mwenyewe kahamia congo je wasaidizi wa samia hawamwambii ukweli unahangaika kutafuta wawekezaji wengine wakati walioko ndani wanakimbia mjinga yupi ataleta mtaji wake
  • user avatar
    Replying to @MagufuliJP
    Ikiwa umewatendea yaliyo mema watanzania Mwenyezi Mungu akusimamie ktk ushindi na kukupa kibali Machoni pake la hujawatendea yaliyo mema watanzania Mwenyezi Mungu akafute kibali chako machoni pake na kuweka giza totolo ktk uso wako nawe usipate kuiona hesabu ya siku
  • user avatar
    Replying to @lifeofmshaba and @MariaSTsehai
    Wana fanya hivi wakijuwa wanaongoza nyumbu,, wasinge subutu kufanya upumbavu kama wangekuwa wanaongoza binadamu wenye akili timamu
  • user avatar
    Replying to @kigogo2014
    Yesu Kristo akasimama na kusema Tazama Wivu wa Nyumba ya Baba Yangu Utanila,Nawe Ukawe na Wivu Kwa Taifa Lako Hata Ukombozi wa Kweli Utakapo Patikana Maana Bwana wa Majeshi Humnyanyua Mtu Toka Chini Hata Atakapo Yeye
  • user avatar
    Replying to @MariaSTsehai and @SuluhuSamia
    Mwenyezi Mungu asikie kilio cha Watanzania afe na huyu Rais atakae fata ataiheshimu KATIBA ya Nchi maana wanaapa kuilinda KATIBA kwa kushika vitabu vitakatifu ajabu wanainyea katiba na vitabu vitakatifu mchana kweupe
  • user avatar
    Replying to @Twaha_Mwaipaya and @kigogo2014
    Wahaini hao ndugu yangu Twaha
  • user avatar
    Replying to @MariaSTsehai and @MagufuliJP
    Tuzidishe Maombi bado Mwenyezi Mungu wetu anayakutulekebishia juu ya madhalimu haya ,,katangulia Dicteta Magufuri bado masalia yake
  • user avatar
    Replying to @JamiiForums
    @SuluhuSamia Tumekusikia Mama na Mwenyezi MUNGU aliye waumba wanadamu amekusikia pia,,Nikujibu hivi Heri yako uliye zaliwa ktk tumbo lisilo kasoro lenye kujaa neema hata nawe ukazaa wanao wenye neema wala wasiione LAANA yeyote ktk ulimwengu huu ambao umepewe na MUNGU uutawale
  • user avatar
    Replying to @kigogo2014
    Kifupi haitakiwi hata msukuma mmoja kuwa ktk nyazifa ya juu ya maamuzi hawa watu wameonyesha umbumbumbu mkubwa sana kwenye uongozi na hakika taifa limerudi nyuma kupitia hawa viumbe WASHAMBA
  • user avatar
    Replying to @ChangeTanzania @MariaSTsehai and @SuluhuSamia
    Leo naanza kidogo kidogo kutoa point kwa Mh Rais Samia Suluhu kuhusu kesi nimekupa point, Ombi langu nyakati hii ngumu kwa Taifa Letu na ufujaji ulio fanywa tukusihi ikikupendeza Mrudishe Prof Asaad kwenye nafasi ya CAG
  • user avatar
    Replying to @HildaNewton21 and @ExMayorUbungo
    Yani mhimili wa serikali kuu unaweza kumfurusha kiongozi wa mhimili mwingine ?? Kama ikiwa hivyo mbona ni hatari sana
  • user avatar
    Replying to @kigogo2014
    Amri za Mungu Usiuwe = Maccm yameuwa Usinzini = Maccm mazinifu Usiibe = Maccm majizi mazoefu Usishuhudie uongo=Maccm ni maongo Ivi kuna kipi katika AMRI KUU ZA MUNGU haya Maccm yalicho bakiza kuto tenda? ILA NENO MOJA PEKEE BWANA WA MAJESHI asema TUMUITE NAE ATAITIKA