Pinned
Jamii Forums
74.5K posts
Inform | Engage | Empower | Digital Democracy
- Jishindie hadi Sh. Milioni 5 kwa kuandika andiko linalochochea Mabadiliko Nyanja: Demokrasia, Haki za Binadamu, Utawala Bora, Afya, Uwajibikaji, Biashara, Teknolojia, Mahusiano nk Shindano litaisha Sept 30, 2021 Soma jamii.app/Shindano1 #StoriesOfChange #CitizenJournalism
- PROFESA ASSAD: #Tozo zina hasara kubwa kuliko faida kwa Serikali > Viongozi wanaotumia magari ya Serikali yenye gharama kubwa kwa shughuli za kiofisini na binafsi ndio wanatakiwa kulipa kodi kwa kuwa wanapata faida ambazo si za kifedha Soma jamii.app/MaoniYaTozo #JFSiasa
- Ni huduma gani kati ya hizi ipatikane bure au kwa gharama nafuu zaidi?
- UPDATE: Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kumuuliza maswali Lissu; imebidi apate muda kuyapitia maswali yote (takriban 1,000) > Tunatarajia kufikia kesho atakuwa ameyapitia maswali hayo na yote yatajibiwa > Shukrani kwa wote walioshiriki
- MBEYA: Mawakili Emmanuel K. Changula, Alphonce Lusako, Raphael J. Ngonde na Frank J. Nyalusi wameishtaki Serikali juu ya Makubaliano yake na Serikali ya Dubai kuhusu uendelezaji wa Bandari, kwa maelezo kuwa hayazingatii maslahi ya Nchi Waziri wa Ujenzi na Katibu Mkuu
- TANZIA: MMILIKI WA PRECISION AIR AFARIKI DUNIA Mmiliki wa Shirika la Ndege Nchini #Tanzania la #PrecisionAir, Michael Ngaleku Shirima, ameaga dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya #AgaKhan, Jijini Dar es Salaam Soma jamii.app/RIPShirima #JamiiForums
- DAR: Mtangazaji wa Mdahalo uliopangwa kuwahusisha Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa, Edwin Odemba kutoka StarTV, amesema Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi hajatokea katika Mdahalo huo, hali ambayo imesababisha washiriki wenzake wa vyama vingine nao
- BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI LATOA TAMKO LA KUTOUNGA MKONO MKATABA WA BANDARI Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (#TEC), Padri Charles Kitima, amesema wamebaini ni muhimu kusimama upande wa Wananchi ambao wengi hawajaridhishwa na vifungu mbalimbali Soma
- HAKI ZA BINADAMU: Uongozi wa Kampuni ya Mabasi ya Tashriff umesema tukio la kutekwa kwa aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA, Ali Kibao ndani ya basi lao liliwashtua na walishindwa kuzuia kutokana na wahusika kuwa na silaha za moto na waliwatisha wafanyakazi waliokuwa
- BAD NEWS: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijijini Dodoma Zaidi, fuatilia > jamii.app/MboweAttack
- MAREKANI: KAMATI YA BUNGE YAITAKA TANZANIA KUTOKANDAMIZA UPINZANI M/Kiti wa Kamati ya Mambo ya nje, Kareen Bass amesema kuapishwa kwa Rais Samia kulileta tumaini la Uelekeo mpya wa #Demokrasia lakini matukio ya hivi karibuni yamefuta matumaini hayo Soma jamii.app/USArrestMbowe
- KENYA: RUTO ATOA WITO AFRIKA KUTOTUMIA DOLA KATIKA MIKATABA YA KIBIASHARA Rais wa #Kenya, #WilliamRuto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa
- TAHADHARI, #COVID19 WIMBI LA 3 IPO Dk. Derick Nyasebwa @DerickNyasebwa (Founder & CEO wa Hospitali za Uhuru na Tanzanite) anakusihi kuchukua hatua zote kujilinda dhidi ya maambukizi ILANI: Zingatia ushauri wa wataalamu wa Afya, kirusi cha sasa ni tofauti na vya awali #UVIKO3
00:00














