Pinned
Haya safari njema huko Washington DC - ila hakuna namna ni lazima mpigwe tu
Madai yako palepale
#FreeTunduLissu
#SamiaMustGo
#KatibaMpya
#Haki na Uwajibikaji kwa mauaji halaiki ya Oktoba
Labda kama umeenda kueleza mpango kazi wa kufanikisha haya madai yetu 🙃 si mbaya!



















