user avatar
fatma karume aka Shangazi
@fatma_karume
Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight
Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2018
Posts
  • Pinned
    user avatar
    UWANAHARAKATI wa Haki za binadamu, UHURU wa Mahakama, UTAWALA wa Sheria si mapambano dhidi ya Serikali. Serikali inayopenda HAKI itawakumbatia wanaharakati wa aina hii. Serikali inayopenda DHULMA itawaona ni ADUI.
  • user avatar
    Nakutakieni nyote Happy Nyerere Day. Tumkumbuke kwa mema yote aliyeyafanya. Mungu amlaze mahali pema.
  • user avatar
    Sijasahau maneno haya. Nilishangaa walivyomshangilia mtu anayesema angepoteza watu. You people are not SERIOUS ⁦@CCMTanzania⁩. Endeleeni kucheka na kupiga makofi!!!
    00:00
  • user avatar
    1948 Abeid Karume, Fatma Karume na mtoto wao, Amani Karume. Kwa kweli Babu alikuwa handsome.🤣
  • user avatar
    Happy Birthday to my beloved father. Amani Abeid Amani Karume.
  • user avatar
    Nancy Pelosi ana miaka 80 na bado anapiga SPANA 🔧 🔧 nyingi tu. Mimi nina miaka 51, Mungu akinipa uhai nina miaka zaidi ya 30 ya kupiga SPANA. Siendi popote.🤣🤣
  • user avatar
    Day 3 #77Nyeupe 🤣🤣👏👏👏Lakini NIMEDAMSHI Jamani!
  • user avatar
    Innalillah wainnaillahy rajioun Leo nimeamka na huzuni. Aunty yangu Mpendwa Amne Rifay, mke wa Salim Ahmed Salim, amefariki dunia. She only ever showed me love. I will miss her loads.
  • user avatar
    Anastahili kuwa kwenye PITCH. Rangi ya jersey ni makubaliano tu si UTUMWA.
  • user avatar
    Ninataka kutoa SHUKRANI kwa NYOTE mliyonitumia UJUMBE wa solidarity kwenye huu wakati. Maneno yenu yamenifariji sana. 🙏🏾💓 Usiku mwema. #onelove
  • user avatar
    Sijafikiria nitaishi kuona Mwanamke anashika MPINI #Tanzania. Kusema kweli machozi yananitoka. Allahamdullilah. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
  • user avatar
    Ahsanteni nyote mlionitakia siku njema ya kuzaliwa. I celebrated it yesterday in the company of people I 💕 and for that I am grateful. Nakutakieni siku njema.
  • user avatar
    Hamjambo? Vipi mishahara huko? Na marupurupu je? 🤣🤣
  • user avatar