Ufunuo 2 :10
"Usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka.
Sikiliza! Ibilisi anataka kuwajaribu kwa kuwatia baadhi yenu gerezani;
nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi.
Muwe waaminifu hata mpaka kufa, nami nitawapeni taji ya uhai."
Boniface Jacob
17.9K posts
Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020
Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov.
Ubungo councilor 2010-2020
BAEd Udsm
CHADEMA CC MEMBER
Dar es salaam
Joined April 2013
- Alhamdulillah ..! Baada ya mapumziko mafupi sasa nipo tayari kuendeleza mapambano kuanzia pale nilipoishia mara ya mwisho tarehe 18 Sept 2024. Maoni ya wengi wanasema niendeleze staili ya "upara" hata baada ya kutoka gerezani. Au sipendezi nakuwa kama Besasiri wa Alparslan.?
- Medy uliniambia nisiogope, na kwamba kila mtu ataonja mauti, lakini sikujua mwisho wako utakuwa wa namna hii.! Fikiria mdogo wako uliyekuwa naye na kuishi naye miaka 66 leo ameshindwa Kukutambua kwa kukutizama uso wako. Kama siyo ile alama yako ya mguuni huenda familia
- Jina: Faustine Jackson Mafwele Umri: miaka 47 Kabila : Mkerewe Dini: Mkristo Makazi : Mikocheni Kazi: Afisa mwandamizi wa polisi Cheo: Kamishina Msaidizi wa Polisi Madaraka: Zonal Crime Officer Tuhuma: Kuendesha genge la uhalifu dhidi ya binadamu. Mawasiliano: +255
- Che che che cheeeeeeeeeeeeee..! Kesi ishakuwa ngumu hiiiiiii.. Naona Wananchi wameununua ugomvi rasmi.
- "Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Ebenezeri, akisema, Hata sasa BWANA ametusaidia." 1 Samweli 7:12
- Sijua baada ya kile kama kingekuja hiki,na sijui baada ya hiki kitakuja kipi..! Ninachojua ni kitu kimoja tu. CHADEMA ni kama Meli ya Kigiriki,pamoja na Mawimbi mengi,makubwa na makali lakini CHOMBO kitavuka salama.!
- Nilikuwa mfuasi mzuri wa siasa za Rais @WilliamsRuto kuanzia akiwa KANU hadi sasa Rais wa Kenya kupitia UDA. Nimejikuta najutia sana kupenda siasa za @WilliamsRuto baada ya kuwa Rais wa Kenya. Hasa baada ya operesheni zake za utekaji nchini Kenya . Mbaya zaidi Nairobi ambayo
- Humu tuuuuuuu,Humu tuuuuuuuuu. Kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
- Asa itakuwaje..? Wananchi wenyewe ndo kama hawa. Raia wamegoma kabisaaa. Kesi ishakuwa ngumu hii.
















