Pinned
Napenda kutoa shukrani kwa Mungu,wazazi ,ndugu jamaa na marafiki,@THRDCOALITION na @humanrightstz, mawakili wangu,uongozi wa chuo.Hatimaye nimetunukiwa shahada yangu ,tuliapishwa kutumia degree zetu kwa maslahi ya umma. Hakika Mapambano ndio yameanza rasmi sasa,shukrani wote




















