Pinned
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa.
Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume).
Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa,


