user avatar
ACTWazalendo
@ACTwazalendo
ACT Wazalendo ni Chama cha Siasa Nchini Tanzania kinachoahidi kuleta |ZanzibarMpya |ZanzibarMoja |MamlakaKamili |TaifaLaWote |MaslahiYaWote
Tanzania
Joined October 2018
  • user avatar
    TAARIFA YA ACT WAZALENDO KWA UMMA
  • user avatar
    "Kule Bara wameshanambia kua Magufuli atatangazwa kwa asilimia 84% na mikakati yao yote nimeshaambiwa na mimi nataka nikutane na Lissu nimpe mikakati hiyo na nimwambie kua, akiweza kuzuia mikakati hiyo wamekwisha hawa". @SeifSharifHamad akizungumza na Timu za Ushindi muda huu.
  • user avatar
    "Mukinichagua nitapanda ndege mwenyewe nikachukue watu wangu (Mashekhe). Hili sitomtuma mtu". - @SeifSharifHamad #MkutanoWaKampeniPwaniMchangani
  • user avatar
    Tumepata taarifa Jeshi la Polisi wilayani Mbinga limepiga mabomu ya machozi na kumkamata Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. @TunduALissu jioni ya leo baada ya mkutano wa hadhara. Tunalaani vikali matumizi ya nguvu, uonevu na ukandamizaji wa shughuli halali za vyama vya upinzani. Tunatoa
  • user avatar
    "Mimi napiga Kura katika Kituo cha Garagara na nategemea kesho saa 2:30 asubuhi kwenda kupiga Kura. Ni haki yangu". Maalim @SeifSharifHamad
  • user avatar
  • user avatar
    From 16 shots to survival, from being a lawyer to being a President. Tundu Antiphas Lissu - the 16 bullets survivalist and the President of United Republic of Tanzania. @TunduALissu "A man of God's miracles".
  • user avatar
    Humphrey @hpolepole njoo huku kuna salamu zako kutoka Viwanja vya Mbuzini Kisiwani Pemba. "Ikiwa kashindwa Nyerere, utaweza wewe Pole Pole?".
    00:00
  • user avatar
  • user avatar
  • user avatar
    October 19 ni siku ya kihistoria nchini mwetu. Hawa wote watakua pamoja kutoa muelekeo na muongozo sahihi kuelekea October 27 na 28, 2020. #ChaguaTunduLissu #ChaguaMaalimSeif
  • user avatar
    "Watawala wamepanga kunidhibiti ifikapo tarehe 27". - Maalim @SeifSharifHamad #MkutanoNaWaandishiWaHabari
  • user avatar
    @kigogo2014 kawaumbua ZEC na katusaidia sana. Ndio maana mpaka sasa hivi hawataki kulitoa daftari". - Maalim @SeifSharifHamad #UzinduziWaTimuZaUshindiPemba
  • user avatar
    "Jana nilisema na leo nasema tena. Potelea mbali! Wakikupigeni na nyie wapigeni". - Juma Duni Haji. #MkutanoWaKampeniTumbatu