user avatar
Jebra Kambole
@Advocate_Jebra
Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032
Law Guards Advocates
Joined November 2014
  • Pinned
    user avatar
    For human rights updates, follow Organisation for Promoting Human Rights @OphTanzania
  • user avatar
    Master of Laws in Procedural Law and International Legal Practice!!!!! . University of Dar es Salaam!!!
  • user avatar
    Eti wanataka kunifatma karume!!! Sitetereki na niko imara zaidi ya jana!!! . I will defend my right to practice law in Tanzania mpaka mwisho!!!
  • user avatar
    Upepo unavyozidi kuvuma ndo mzigo wa kuku unazidi kuonekana wakuu!!
    'Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo' - BBC Tazama: bbc.in/4ozc5eA
  • user avatar
    Shangazi katisha!!! Hana muda na mtu anaenda zake mishemishe! Kama kapendeza retweet basi ๐Ÿ˜‚
  • user avatar
  • user avatar
    ADVOCATE PETER ELIBARIKI MAKUNDI (Roll No. 5937) a member of the TLS was tragically passed away on Wednesday, 29th October 2025, following a gunshot incident by Police at Shekilango, near Total Petrol Station, while he was returning home after shopping. Pumzika Wakili Msomi!
  • user avatar
    Nyingine hii nakusogezea! Tuishi humo!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
    00:00
  • user avatar
    Wengi wa wasanii wa kibongo sijui mkoje yani isipokuwa wachache kama komando @JideJaydee ,yani mmekuwa waoga kama mbwa koko mnashindwa hata kumuombea uzima au usalama mwenzenu? Hata kuweka hashtag #FreeIdrisSultan mnaona kama mtakamatwa aibu yenu!!
  • user avatar
    Boni Yai aligoma kutoa Password ya X account yake na ya Simu na hakuna kitu wamemfanya mpaka wamekuja kuomba mahakamani!! Ingekuwa ni Rajabu was Chanika au Juma wa Kitunda huko, hicho kipigo angepata hapo polisi Mungu ndo anajua!! Tutafika muda ambao kila raia wataelewa haki zao!
  • user avatar
    Kangi anaogopa hata katoa ushauri juu ya corona! Hata kusema wananchi naweni mikono!!๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Anaona kama atawastua kimeo chake ๐Ÿคฃ
  • user avatar
    Leo nimetimiza miaka 8, Tangu nianze uwakili namshukuru Mungu kwa uzima na mengine mengi!!
  • user avatar
    Hii picha inazungumza mengi sana? Huyu kijana kosa lake lilikuwa ni kuchoma picha ya Rais ambayo sio mali ya huyo Rais ni picha tu, picha hizo ziko kwenye magazeti watu wanafungia maandazi hata kuvutia ugoro! Ona ulinzi huo, imagine adhabu yake ni kupotezwa! Ona ulinzi? Poor us
  • user avatar
    Nimesikia Sifa Bujune amefariki, aliwahi kuimba wanatuona nyani! Mwaka 2023 Watawala wakasirika wakamkamata na kumuweka ndani siku kadhaa na kumfungulia kesi ya uchochezi! Baada ya kuwabana wakafuta kesi. Mwenyezi Mungu amrehemu Sifa, alikuwa mtu mwema sana, pole kwa wote!