user avatar
Lady JayDee
@JideJaydee
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2009
Posts
  • user avatar
  • user avatar
    Brown Skin Girl just turned 41
  • user avatar
  • user avatar
    Kila mtu ana sababu kwanini anafanya kitu fulani. Nikiwa mdogo naenda kuomba 🎀 Club Billicanas walau nionekane , ni mtu ambae ameni inspire kuwa mjasiriamali . Nafsi itanisuta sana nisipo sema kitu . Mimi nimechanga wewe je ? Sina chama , sipendi siasa πŸ™πŸΎ
  • user avatar
    Corona si kitu cha aibu mtu akipata ifichwe, sio ugonjwa wa zinaa useme alieupata alizini kwahiyo iwe siri kumsitiri . Hii ni ya wote , kuweka wazi kunaweza hata kusaidia watu kuchukulia serious na kujilinda zaidi. Mtazamo tu si lazima niwe sahihi. #staysafe
  • user avatar
    Ila mimi naimba jamani , Daah!! Yani najisikiliza hapa hata siamini kama huyu ni mimi na hii ni sauti yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Basi watu mtanuna πŸ™„. Mlitakaje kwani ? Yes i said it 😐
  • user avatar
    Ukifuatilia maisha ya watu Instagram na ukayatamani unaweza kuiba kumbe hakuna lolote. Sio kila anae post chakula kizuri au mitoko sehemu za maana huwa kalipia yeye mwenyewe. Inawezekana kidogo chako kina amani kuliko maigizo ya watu
  • user avatar
    Dear son , God loves you πŸ’•
  • user avatar
    Bibi mzaa Mama aliniita ~ Mogondo Bibi mzaa Baba akaniita ~ Wambura Baba na Mama wakasema ~ Judith @ProfessorJayTz akaniita ~Dada Mkuu Fans, Dunia na Matukio vikanipa majina kama Komando, Anaconda, Wallet. n.k Na leo ni siku yangu . πŸ™πŸΎ
  • user avatar
  • user avatar
    Hii dhambi ya kuua watu hovyo inachochea chuki sana baina ya watu na watu. Hadi siku atakapouwawa ndugu au mtu wako wa karibu ndio utaujua uchungu wake. RIP kwa wote waliouwawa bila hatia. Hakuna anaestahili kufa kifo cha kinyama. πŸ’”
  • user avatar
  • user avatar
    Uki post uko beach na umevaa nguo za kuogelea watu wanahamaki. Hivi beach tunatakiwa tuvaeje ? Leo nita post. Potelea mbali na shauri zenu 😏😏. Nawaandaa kisaikolojia
  • user avatar
    Naomba kesho iwe afadhali ya leo. Maisha ni magumu sana asikwambie mtu. Na kitu nilishindwa ni kuwa puppet 😏😏😏. I’d rather die poor