Joseph L. Haule
31.8K posts
Hip Hop Artist
- Leo Nimeanza rasmi Oparation Rudisha Shavu , nikiwa na mdogo wangu wa damu @Blackchatta hapa kwa @kazimotopork TABATA SEGEREA , Karibuni sana🙏🙏🙏
- Asante sana Mungu kwa Zawadi ya uzima, na kunilinda siku zote za Maisha yangu, Nipo kamiligado tayari kwa Mapambano✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾 #KataaUtekaji #maskanikimara
- Ni Dada mkuu na Kaka mkuu tena💪💪 Dada mkuu @jidejaydee amefunga safari straight from USA kuja kunijulia Hali na pia kuniletea Salaam nyingi sana kutoka kwa mwanangu @roma_zimbabwe Am Humbled🙏 Ulikuwa wakati mzuri sana kukuona tena my lovely Sister, Bless Up❤️❤️❤️
- Leo nimefurahi sana kutembelewa na ndugu zangu wa ukweli @therealfidq @AyTanzania @ngomanagwa na @tharealsimplex Asanteni sana kwa kuja, Mungu awabariki sana🙏🙏🙏
- Asante MUNGU kwa ulinzi na Afya njema, Asanteni sana WanaMIKUMI wote kwa kuniamini kuiwakilisha MIKUMI yetu, Nakishukuru sana chama changu cha CDM kwa kuniamini, Nimetia NIA tena ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kupitia Chama changu cha CHADEMA, Eeh Mwenyezi Mungu NISAIDIE🙏🏻
- Nakushukuru sana Mungu Baba Mwenyezi , Muumba wa mbingu na ardhi na vitu vyote vilivyomo kwa zawadi hii ya Uhai kwa mara nyingine tena, HAPPY BIRTHDAY TO ME, Sina Cha kukulipa baba zaidi ya kutangaza Sifa zako na Utukufu wako siku zote za maisha yangu🙏🏻🙏🏻
- ASANTE sana Mwenyezi MUNGU mwingi wa REHEMA, Wewe pekee ndie unaijua vizuri KESHO ya kila mmoja wetu🙏🏻 Nawatakia wote JUMAPILI NJEMA❤️❤️
- NIMEJIFUNZA kwamba sisi Wanadamu inatupasa kuchunga sana NDIMI ZETU, Kutafakari kwa kina KAULI ZETU na inapobidi ni Kufunga kabisa MABAKULI yetu kwani Malipo yapo Hapa hapa DUNIANI na Mwisho wa UBAYA ni AIBU🙏🏻🙏🏻
- Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kutupa zawadi hii ya Uhai na kuwa pamoja mpaka Leo, Asante sana Mke wangu kipenzi @mke_wa_profjize kwa kuvumilia mapito yote tuliyotupitia pamoja sina la kusema zaidi ya NAKUPENDA SANA❤️❤️ Happy anniversary to us my beautiful wife❤️❤️❤️❤️
- Toka juzi nilipotangaza #OparationRudishaShavu nikiwa pale @kazimotopork TABATA SEGEREA Nimepokea mialiko mingi sana kutoka sehemu mbalimbali, Nawashukuru sana wote kwa Upendo wenu na kunitakia Mema katika maisha yangu, Tumuombe Mungu atupe uzima tu, AMEN🙏
- Tarehe 29 December ndio siku niliyobarikiwa Kuzaliwa ,Na kwa BAHATI kubwa na ya kipekee sana nilibahatika kuSHARE Tarehe moja na Mwezi mmoja Wa kuzaliwa na MAMA yetu Mzazi Mama ROSEMARY MAJANJARA, HAPPY BIRTHDAY MAMA, Mourn Till i join You❤️❤️❤️ Happy BIRTHDAY TO ME🙏🏻🙏🏻
- Jina langu linaongeza idadi ya MAADUI, Wengine nawajua wengine SIWATAMBUI, 🔥🔥🔥JINA LANGU.....
- Leo nimepata Neema ya kutembelewa na NABII @godblessjlema1 Hakika Mungu ni mwema sana siku zote asante sana ujio wako umenipa nguvu sana Leo🙏🙏

















