user avatar
THRDCOALITION
@THRDCOALITION
Ensuring maximum Security & Protection for all Human Rights Defenders (HRDs) in the United Republic of Tanzania. (Tanzania Mainland and Zanzibar) since 2012.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2012
  • Pinned
    user avatar
    ACHPR MEETING WITH H.E DR. SAMIA SULUHU HASSAN, MADAM PRESIDENT URT It was honor for THRDC to coordinate the meeting between The African Commission on Human and Peoples Rights (ACHPR) and the President of the United Republic of Tanzania @samia_suluhu_hassan @Hassan_shire @ACHPR
  • user avatar
    ABDUL NONDO ASHINDA KESI: Pichani ni Abdul Nondo baada ya kushinda kesi yake katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa. Katika uamuzi wake, Mahakama ya Wilaya ya Iringa pia imelaani kitendo cha polisi kumgeuzia mashtaka mlalamikaji badala ya kumsikiliza na kusema kuwa huo ni uonevu.
  • user avatar
    TAMKO KULAANI TUKIO LA KUTEKWA KWA EDGER EDSON MWAKABELA
  • user avatar
    THRDC's STATEMENT ON THE PARMANENT DISPARMENT OF ADVOCATE FATMA KARUME
    THRDC YATOA TAMKO KUFUATIA UAMUZI WA KUMUONDOA FATMA KARUME KWENYE REJISTA YA MAWAKILI TANGANYIKA @THRDCOALITION
  • user avatar
    Yesterday on 17th August 2020, THRDC received official communication (letter) from CRDB Bank that our bank accounts had been frozen following orders from authorities. We are now working hard to resolve it. In the meantime, we ask all well-wishers for your patience & support!
  • user avatar
    BREAKING NEWS: BOB CHACHA WANGWE, AIBWAGA TENA SERIKALI MAHAKAMA KUU Leo jopo la majaji watatu lililoongozwa na Jaji Atuganile Ngwala, limetoa uamuzi uliompa ushindi @BobWangwe baada ya kuvifutilia mbali vipengele vya Sheria vinavyowapa Wakurugenzi mamlaka za kusimamia chaguzi.
    00:00
  • user avatar
    HUKUMU YA KESI DHIDI YA MAXENCE MELO NA MWENZAKE MICKE WILLIAM INAENDELEA KUTOLEWA MUDA HUU: Hakimu Thomas Simba amesema, "Baada ya Mahakama kupitia ushahidi wote, imejiridhisha kuwa mshitakiwa wa pili Ndg. Micke William hahusiki katika kesi hii kwa namna yoyote ile...".
  • user avatar
    Ni muhimu kuyafanyia kazi mambo mbalimbali yanayowahusu wananchi kabla tatizo halijawa kubwa.Sisi kama wanasheria kutoa elimu kwa wananchi kuhusu mambo mbalimbali ya kisheria yanayowahusu. “Mdomo haujaumbwa kwa ajili ya kula tu”. Watetezi TV @fatma_karume #MuswadaWaVyamaVyaSiasa
  • user avatar
    TAMKO LA PAMOJA LA THRDC NA LHRC KUHUSU MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NA. 03 WA MWAKA 2020 👇👇
  • user avatar
    ANOTHER WIN FOR ABDUL NONDO: The Republic has lost its appeal after once again failing to prove to the High Court what their grounds of appeal are against @abdulnondo2's previous victory at Iringa District Court for trumped-up charges of publishing false information back in 2018.
  • user avatar
    BREAKING NEWS: Freelance Investigative Journalist Erick Kabendera is now a free man. After his plea bargain agreement with the DPP, the Kisutu Resident Magistrate's court has acquitted him of 1 of 3 Economic crimes charges on conditions that he pays TZS 272+ Million fine.
  • user avatar
  • user avatar
    "Kutetea haki za watu wenye ualbino sio kwa Tanzania tu bali kwa dunia nzima. Hivyo ni vyema kila mmoja wetu kuchukua nafasi yake katika kuhakikisha watu wenye ualbino wanaishi katika usalama na kwa usawa":- Vicky Ntetema - Former Executive Director - UTSS #UTSS10YearAnniversary
  • user avatar
    NEWS UPDATES: So, HRD @TitoMagoti is not being held at the Dar es Salaam Central Police station. We looked for his name in the registration book twice, but couldn't find it. We are now heading to Oysterbay Police station. We will keep you updated. Issued by @THRDCOALITION