Pinned
Bob Chacha Wangwe
1,838 posts
🇹🇿Lawyer|Human Rights Activist|Agent of change|Ambivert||
- Ndugu zangu. Nimefanikiwa kupata gari yangu naamini ni kwasababu ya ushirikiano wenu. Kwa hatua ya sasa naomba napenda kuwashuru sana. Nikipata wasaa nitapenda kuwahabarisha “Mkasa” mzima ambao naamini mtajifunza kitu. Mungu awabariki sana!🙏🏾
- Hii dhana ya Madaktari wa kiume kuwatibu/kuwazalisha wagonjwa wa kike ni utamaduni au ni uhaba wa wataalamu wa Afya?Kama ni utamdn ulitokea wapi?Kama ni uhaba wa wataalamu wa afya kuna mipango gani ya kuondoa tatizo? Kuna siku nitalipeleka mahakamani tupate busara ya mahakama.
- Kaka unastahili pongezi nyingi. Umesimamia na kuratibu zoezi la Uchaguzi kwa weledi. Kila kitu kilikuwa wazi. Umetupa uhalali wa kuendelea kudai mifumo huru ya Uchaguzi. Mungu akubariki sana!
- Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama Binadamu, lakini ana sifa muhimu kwa maslahi ya CHADEMA na Taifa.
- “Kaka,kama kuniweka korokoroni wanadhani ni kunilegeza ili niwalambe miguu na kuwapigia magoti,waandae tu kamba ya kuninyongea hadi kufa.Niko tayari.Haya mashitaka ya bure hayawezi kunirudisha nyuma and afterall hata waoga na watesi hawataishi miaka 200 nitakuwa nimetangulia tu
- TBC wahuni sana. Wamefunga safari kwenda Mbagala Zakheim kufanya uhuni, hujuma na upendeleo wa wazi. Wanahujumu hadi sauti na picha. They’re not fair at all. Next time they should be chased away forthwith. Wanatia aibu!
- Askofu Stephen Munga. Kati ya viongozi wachache wa dini wenye ya Mungu tu. Wengi wamekuwa walamba vyayo za Wanasiasa.
00:00 - Sauti ya Umma ni Sauti ya Mungu! Hongera sana Lissu! Hongera sana Heche!











