Huyu mbona ni kama amejimilikisha kombe. Kila muda kashika yeye.😡
GIFT WILLIAM🇹🇿
5,313 posts
Joined May 2020
- Leo Rais @SuluhuSamia Anazindua ikulu mpya iliyojengwa dodoma. Utofauti wa eneo la Ikulu ya Dar es salaam na Dodoma Dar es Salaam: Ekari 41 Dodoma: Ekari 8,473 Eneo la Ikulu ya Dodoma ni zaidi ya mara 200 ya eneo la Ikulu ya Dar es Salaam. Mama anachapa kazi #KaziIendelee
- Tuachane swala la bandari kidogo. Sikuhizi umeme haukatiki hovyo na sioni watu wakipongeza hili au mazuri huwa hayaonwi.
- Kwanza tafuta Nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela…… na katika kupitia hatua hizi lazima ukubali kupitia maumivu ya mchakato wa lazima “~Ruge Mutahaba. #RipLegend #RUGE
- Waziri mkuu wa Tanzania @KassimMajaliwa_ akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa shirikisho la Urusi #Russia katika kilele cha mkutano wa #RussiaAfricaSummit uliofanyika jijini #SaintPetersburg Urusi. #Africa #Tanzania
- Kuanzia sasa wafanyabiashara wa Tanzania na India hawatalazimika kutumia dola za Marekani kuuza au kuingiza bidhaa. Biashara hizo zitatumia fedha za ndani za Tanzania yaani Shilingi na Rupia ya India, ili kupunguza gharama za ubadilishaji wa fedha na tozo.
- "Kuna mkuu wa wilaya moja ya Morogoro, alipoulizwa kwanini wilayani kwako kuna watu wengi wanakufa kutokana na mapigano ya wakulima na wafugaji, akajibu ng'ombe wengi wanaoingia ni wa wakubwa nami siwezi kuwagusa, sasa nasema hakuna mkubwa mbele ya sheria" Rais @SuluhuSamial
- Ndugu wajumbe Ndg Dkt Hussein Mwinyi anastahili kula zote za ndio. Tukampigie.
- Stendi ya Mabasi na Maegesho ya Malori katika eneo la Nyamhongolo Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza iliyozinduliwa jana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango. #kaziiendelee #mamayukokazini #sisitumekubali
- RAIS SAMIA ASHUSHA BEI ZA MAFUTA Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu imeshusha bei ya mafuta ya Diseli, petroli na Mafuta ya Taa kuanzia tarehe 7 Septemba 2022. Bei za mafuta katika soko la ndani zimepungua kati ya shilingi 430/lita kwa mafuta ya taa,
- Replying to @EduTalkTzNchi kama Urusi yenye AI iliyoendelea duniani lakini pale Red square makomandoo huwa wanafanya maonesho ya kijeshi kama haya pia. Tuache kujidharau @EduTalkTz

















