Pinned
TALKING SCHOLARSHIPS
Scholarships zilinileta USA 2016, zikanipeleka CHINA 2018/2019, zikanirudisha tena USA 2019 na bado zipo na mimi mpaka nikamilishe safari. Nadhani nina moral responsibility ya kuwagawia wadogo zangu maarifa ya kuzitafuta. Nisaidie kushare hii THREAD🙏🏿
















