Waziri mkuu wa Tanzania @KassimMajaliwa_ akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa shirikisho la Urusi #Russia katika kilele cha mkutano wa #RussiaAfricaSummit uliofanyika jijini #SaintPetersburg Urusi. #Africa #Tanzania https://t.co/vkKhDkHqbO