Pinned
Biashara nyingi hushindwa kutokana na
📍ukosefu wa mtaji wa kutosha
📍ukosefu wa ujuzi wa kutafuta masoko
📍ukosefu wa ujuzi wa usimamizi wa biashara
📍ukosefu wa taarifa sahihi kuhusu biashara iliyoanzishwa
Ushauri kwa vijana wanaotaka kuwa wafanyabiashara👇🏾






