Dakika 22 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 3 Inaweza kuonekana kuwa jambo dogo, lakini tunapoliona, linaweza kusababisha wasiwasi mkubwa. Watu wengi hufadhaika wanapoona damu kwenye kinyesi chao, wakidhani ni tatizo kubwa, kama saratani ya tumbo. Hata hivyo, kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha kutokwa na damu kwenye mfumo wa usagaji chakula, baadhi zikiwa mbaya zaidi