Usije kufanya makosa wewe, Ndoa haina uhusiano wowote na umri wako, elimu yako, gari lako, kazi yako, pesa zako wala CHOCHOTE ulichonacho au unachotarajia kuwa nacho!.. Muombe Mungu akupe right CONNECTION at the right TIME
Amelaaniwa yeye ailaaniye 🇮🇱… Sasa na wewe endelea kunyooshea kidole 🇮🇱 utaona hasira za Bwana juu ya Taifa lake. Chagua Baraka au laana… Kazi ni kwako… 🤷🏻♂️
Nilianza kusapoti TAL, lakini ukitulia na kumuangalia na kusikiliza akizungumza, jibu ni HAPANA kubwa. HAFAI kuwa KIONGOZI! Kwa ufupi TAL ametusaidia sana kufahamu his true colors! HELL NO!!
Nakushauri kanunue stabilizer / voltage regulator ili uweze kunusuru vifaa vyako kuharibika kutokana na power interruption/ fluctuations… Una risk sana aise
Kiingereza sasa… 🥲 Mwanasheria anauliza… “where are you accounting as a directors?” akiwa ana maana ya to whom are you accountable as director of the company?