user avatar
Mwele Malecela
@mwelentuli
Director, Neglected Tropical Diseases, WHO Views expressed are my own. RTs are not endorsements
Geneva, Switzerland
Joined December 2011
  • Pinned
    user avatar
    Wise words from Dr Foege as always- “poverty is the slavery of today” and nowhere is it so clearly depicted than the cycles of poverty caused by Neglected Tropical Diseases!
    For #JuneTeenth2021 we ought to renew our commitment our to ending various forms of subjugation throughout the world. The old forms now largely done away with persist in the gross inequities of our time. As ex-CDC director Bill Foege argues: "Poverty is the slavery of today."
    00:00
  • user avatar
    Thank you! Asanteni sana!
  • user avatar
    Imebidi niwablock @darmpya_ maana imekuwa sumu Mimi kutweet sasa. Kila tweet mnaipakua na kufanya habari. Haiwezekani kuwa na mijadala yenye tija mkifanya hivyo nafikiri ni njia ya kufanya watu wasiongee.
  • user avatar
    Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki!
    Watalaam wa tiba hembu tupeni somo katika upimaji wa Covid-19 @mwelentuli @NormanJonasMD
  • user avatar
    It's been a year since that fateful day that I was rushed to hospital and diagnosed with cancer. Am thankful to all that have seen me through this journey. I have had lessons and blessings and am thankful for both. To God Be the Glory.
  • user avatar
    Asiekuumba kukuumbua hawezi- Shabaan Robert!
  • user avatar
    It has been two years since that fateful ambulance ride which ended up with a late stage cancer diagnosis. I am thankful for every single day of the two years. I have learnt so much especially to appreciate a day at time.
  • user avatar
    Hakuna wakati katika nchi yetu ambapo tumeona matukio ya ukatili dhidhi ya wanawake kama sasa! Haikubaliki! Pole sana Catherine!
    Nikihutubia nikiwa nimekaa kwenye kiti, siwezi Kusimama kwa sababu ta Maumivu. God will never forsake me because i have done nothing wrong
  • user avatar
    I have 3792 new followers from Tanzania 🇹🇿, USA 🇺🇸, UK. 🇬🇧, and more last week. See tweepsmap.com/!mwelentuli
    User report
  • user avatar
    The first leader in TZ to acknowledge she has COVID openly and talk about the gravity of the disease is a woman.This is leadership! #womenleaders
  • user avatar
    Ahsante sana Hilda 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
    Kwako Dada @mwelentuli naomba utambue kuwa Watanzania wengi tunakupenda, tunathamini sana mchango wako na tunajivunia wewe. Mwenyezi Mungu akubariki na kukutunza..🙏
  • user avatar
    Haya yangefanyika baada ya walau siku thelathini za kutokuwa na mgonjwa hata mmoja. Je siku 30 zimepita bila mgonjwa? Kushangilia mapema kunaweza kuleta shida. Mungu ni mwema lakini pia tutumie vizuri hekima aliyotupa!
    Mkuu wa Mkoa wa DSM amesema kuwa wenye hoteli, mabaa, makampuni na biashara watarudi kazini inapofika siku ya Jumapili. kila 1 apige shangwe na kila aina ya fujo ikiwa ni ishara ya kwamba Mungu ametushindia, washa muziki siku hiyo nimekupa uhuru, piga kelele uwezavyo."- Makonda
  • user avatar
    While this is a truly dark cloud in our nation's history you have shown that people of integrity still exist and that you are one of them! History will judge you as a man of honour Prof Assad. #IStandWithCAG
  • user avatar
    Thank you to all my Twitter followers. Ahsante sana kwenu mnaonifuata kwenye mtandao wa Twiiter.