Pinned
*USHURU WA KAMPUNI ZA BETTING*
Ushuru wa bidhaa (excise duty) wa asilimia 5 kwenye thamani ya dau (bet) umeanzishwa kwa majukwaa yote ya kamari. Hii kodi ni kubwa ukilinganisha na nchi nyingi ambazo hutoza kodi kulingana na mapato halisi ya kampuni za kamari (gross gaming








