Ishawahi tokea umelala ghafla inatokea hali huwezi kuongea wala kujisogeza na kuhisi kama unakabwa ila huwezi jitetea.
Hali hii huitwa "SLEEP PARALYSIS"
🔵Hili Jambo lina nadharia nyingi za kijamii, kidini , kishirikina nk
Nagusia kisayansi kama una nadharia yako share chini👇