Tluway
588 posts
- Replying to @IreneigoraMatajiri wanakuambia kupata dereva ni rahisi kuliko housegirl! Yaani Tanzania kazi ya udereva imekuwa kama laana, ukiangalia kazi wanazofanya madereva ni ngumu wanabeba mizigo ya pesa nyingi sana wanarisk mpaka maisha, ukiangalia ujira wao Sasa utasema madereva ni waongo
- Replying to @IAMartin_ and @fadhommy03Nani pia nahitaji kusajiliwa kidigital








