Hii habar ni yenu, sisi tutatumia naur zetu na muda wetu, kuja dar na tutacheza mechi ya kirafiki, tukiwa wapole mtaendelea kututawala kibabe kama hivi sasa.
Hakuna aman yoyote inchini, labda kwenu
Kiufupi TIGO wamekubar kuhusika katika shambulio ila ni kuwa wamebadilisha mmilikii😂😂
Mbona tukikopa tigo na mmiliki akibadilika bado tunawalipa tigo😂😂
Mii sio mwanasheria ila hapa ningewapiga mwua nyingi sana hapa.
Wakuu sisi tuendelee tu kuffoliana tu, ajira yetu niakili zetu, weka hedle kama sijakufollow nikumbushe hapo chini napita naww,, kama hili ni lakwelii🔥🔥🔥
Sisi Mbeya Tuna mwabukusi, sikia madin hayo af repost na mikoa, wilaya, kata mpaka mitaa tuweze kuwa na fikra kubwa na uthubutu wa kujenga TANZANIA yetu tusiwe wazembe