Victor Forgeoux
204K posts
Senior Firmware Engineer | Deep expertise in embedded systems, microcontroller development, and hardware–software integration.
- Namtafuta huyu mwamba hakika ana Jeans zake nyingi kwangu T shirt na mashati atakayochagua yeye nitampa Bure 🌹🌹🌹🥰Rt imfikie yeye au kwa anaemjua
- Video ya homeboy hiyo hapo kwenye comments kama hujaiona 😆😆👇
- Congo sio kongowe😂We ukikutana na EBV simamisha nikupe msosi niko full
- Kwahyo chege chigunda kaona wanaotoa connection wanafaidi kaamua nayeye atoe😭😭
- Tiyari nishajipanga kwenye howo langu kutokea mkoa wa baridi niwatakie usiku mwema followers wangu 😂😂🛌🛌
- Hongera homeboy @EsirEid Una Roho nzuri Sana ndo maana Mungu anaendelea kukubariki Asante kwa kugharamia matibabu yangu nlivopata Ajali Appreciate Mungu akuweke 👍👍🙏
- kituo cha watoto yatima cha kurasini nlienda bwana kufika pale kuanzia treatment nliyopewa getini hadi ndani nlitaka kulia 😂😂💔Mpaka nikasema ni kweli nimekuja kutoa sadaka ila hii hela bora ningewapa watu wengine wenye uhitaji kama wagonjwa hospitalini













