Spika Mstaafu, Anne Makinda, anasikitishwa na wanasiasa kuwaona wapinzani kama maadui wakati Taifa lilikubali Vyama vingi. #TanzaniaDAIMA.
AyoTV
34.3K posts
Official Video Twitter page for @millardayo | We tell the best news and stories from East Africa | from the Most Subscribed to Journalist on YouTube in Africa.
Joined May 2014
- PICHA: Wabunge wakimtunza pesa Mbunge wa Viti Maalumu Jacqueline Msongozi wakionesha kufurahishwa na kitendo chake cha kusimama, kutetea na kuomba muongozo kuhusu Mbunge wa Momba Condester Sichalwe kutolewa Bungeni kwa madai ya mavazi yasiyo na maadili. #MillardAyoBUNGENI
- VIDEO: Rapper Chidi Benz usiku wa kuamkia leo aliibuka kwenye party ya Desperados Elements Dar es salaam na kushika mic kwa dakika chache ambapo aliliamsha na classic yake ya ‘Dar es salaam stand up’
00:00 - "Msitikise nchi kwa mambo ya kijingajinga. Nchi kama hii yetu inatawaliwa na sheria. Haitawaliwi na mtu." - Mwalimu Nyerere. #MTANZANIA.
- Mbwana Samatta @samatta77 anafunga hat-trick yake ya pili akiwa na Genk leo akiichezea Genk vs Zulte-Waregen katika ushindi wa 4-0 (Pozuelo 29' Samatta 31' 68' 86') #MillardAyoUPDATES
- Salaam, kwa sasa Habari zote za AyoTV/millardayo Twitter zitawekwa ktk ukurasa huu wa @ayotv_ baada ya @millardayo kudukuliwa, HATUNA account nyingine Twitter zaidi ya hizi, tunashukuru kwa msg za pole na kutaka kusaidia kuirudisha iliyodukuliwa, taratibu zinafanyika kuirudisha.
- #BREAKING: Rais Magufuli amesema Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka ndie Mkuu wa Mkoa anaeongoza wa kufanya kazi vizuri kuliko wote Tanzania ni kwa mujibu wa ripoti aliyonayo. #MillardAyoUPDATES
- "Nimekaa nje ya mfumo wa siasa kwa muda baada ya kutoka Chama Cha Mapinduzi, nilitaka nitumie muda wangu wa kutosha na familia, ni vizuri watu wakajifunza kuna kipindi cha kuongea na kipindi cha kunyamaza" Lazaro Nyalandu #MillardAyoUPDATES
00:00 - Mahojiano na Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo baada ya kumshinda kwa Knockout Mwingereza Sam Eggington huko Birmingham Uingereza.... sema Mkalimani katisha 😀😀
00:00 - VIDEO: “Mama Samia tunasikia kauli zako za kurejesha matumaini lakini haitoshi sababu unafahamu kwa miaka mitano mlibadilisha kanuni/sheria kuminya uhuru wa Vyombo vya Habari, Demokrasia, kuwatesa Wafanyabiashara, naomba mkarekebishe sheria zote kandamizi” ——— @freemanmbowetz
00:00 - Huyu ndie Grace Jones Raia wa Uingereza anayetajwa kuwa ndie Raia wa nchi hiyo mwenye umri mkubwa zaidi, Grace amefikisha leo miaka 112 na amedai kuwa siri ya kuishi kwa muda mrefu ni kunywa kila siku Whisky na alianza kufanya hivyo tangu miaka 60 iliyopita.#MillardAyoUPDATES
- “Nilipokwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu niliwaambia Wakuu wa Wilaya sitaki kusikia Mtumishi wa Umma kawekwa mahabusu, kwenye Mkoa wangu hutoona huu upuuzi” - ANTHONY MTAKA - RC SIMIYU #MillardAyoUPDATES #WIKIHII
00:00 - Rais Magufuli ameagiza kuwa zaidi ya Milioni 400 zilizochangwa kama rambirambi zitumike kujenga wodi Tatu ktk Kituo cha Afya Bwisya.#MillardAyoUPDATES
- “Nimwambie Zitto hawezi pambana na Spika, nina uwezo kumzuia kuongea hadi mwisho wa Ubunge wake na asiende kokote"-Ndugai #MillardAyoUPDATES











