Pinned
Kesho Jumamosi June 6 Timu ya Millard Ayo Estates itaambatana na Watanzania wanaotaka kujionea eneo linalouzwa la eka mia tatu za viwanja vya kujengea Viwanda ( linaloonekana kwenye hii picha ) linalouzwa katika eneo la Zinga, Bagamoyo Mkoa wa Pwani ambalo sasa ndio lipo katika















