Pinned
Blessed Tillah (MBARIKIWA)
59K posts
NAMUOGOPA MUNGU PEKEE π
- Ile siku nimeumwa usiku nikalazwa hospitali sina mia kipande brother @IAMartin_ na @Ntobi_ walikuja usiku wa manane waka-clear bill na kuninunulia juisi juu π Sitawafunza kitu ila humu ndani ni familia π«ΆπΎπ«‘
- INCASE YOU DONβT KNOW! Anaitwa Reyjons A.K.A Jitu ni Event Manager @CrownMediaTZ na ndiye aliye-organise tukio zima la Simba Day siku ya jana π Tumpe maua yake hapa kwa emoji tatu za π₯
- Hello good people, nimeona maoni yenu yote na kwa moyo mkunjufu kabisa nayapokea, No hard feelings. Next time tutazingatia zaidi na tutatisha zaidi.π€πΎ #BlessedTillah
- βTRA WANANIFANYA KAMA MKIMBIZIβ DIAMOND βKuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingineβ βKama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumizaβ Diamond #TillahUpdates
- Spana Left and Rightβ¦Spana Everywhere ππΎ Nichokozeni sasa muone.πΉ
- This chapter of my life is called βEverything I prayed and moreβ π€πͺπΎ
00:00 - Dunia inataka hivyo wanangu, kufahamiana ππΎ
- TAARIFA Blessed Tillah amepata ajali , kwa sasa yupo chini ya uangalizi tuendelee kumuombea mpaka atakapokuwa sawa ππΎ


















