Msanii na rapa @naytrueboy maarufu kama Rais wa Kitaa ametangaza kuja na tamko hapo kesho kupitia digital platform zake za muziki.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nay ameandika;
“Siku ya kesho, Jumanne saa nne kamili asubuhi Rais wa kitaa nitakuwa nahutubia taifa. Nisaidieni
“Utenguzi wangu kuna mtu alinipigia simu siku moja kabla kuhusu utenguzi wangu, na saa moja kabla ya taarifa kutoka nikapigiwa simu tena basi nikampa funguo yule dereva wangu yeye akarudi Dodoma mimi nikapanda ndege kurudi Dar” Prof Mussa Assad CAG wa zamani.
Baada ya Tanzania kufuzu AFCON 2025 zitakazo chezwa Morocco, Rais Samia ametangaza kuwapatia zawadi ya Milioni 700 kama pongezi.
Mapema jana Rais Samia alitangaza mchezo wa leo utakuwa bure kwa kuwanunuliwa watazamaji wote viingilio.
Rais Samia pia alitoa ndege ya kupeleka
Kufuatia Ushahidi uliopatikana hivi karibuni kwenye Mahakama moja huko London, Uingereza Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amehoji
“Inakuaje kampuni hii inashiriki kutoa siri/faragha za mteja ili auwawe?!”
Lissu ameyasema haya mapema jioni ya leo 25 Sept, 2024