Muda huu 16:58 Mhe Boniface Jacob ndio anapandishwa kizimbani hapa kwenye Mahakama ya Kisutu.
Mawakili upande wa serikali wamefika, tunamsubiri Bwana Hakimu.
"Ikitokea kesho (Sept 23, 2024) miungoni mwetu mtu akauwawa- hata ikiwa ni mimi, niombeeni nipumzike kwa amani,halafu nyie mliobaki songeni mbele! By @freemanmbowetz
Napokea simu nyingi- zikiuliza kuhusu @IAMartin_ Ni kwamba, Martin hajatekwa bado wala kukamatwa ila, Polisi wamekamata simu zake zote (IPhone 15 & Samsung) hivyo zipo mikononi mwa Polisi. Poleni kwa kutopokelewa. Mwenetu ni mzima wa afya. Sept 18, 2024 #NeverNeverAgain
Leo, nimepata wasaa wa kukutana na Mhe @TunduALissu, pamoja na mambo mengine, kumpa salamu za pole; kutoka kwa WanaCHADEMA na Wananchi wa Mkoa wa Shinyanga.
Nimesikia taarifa zinazohusu baadhi ya waliokuwa wajumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa zamani kujiondoa kwenye Chama.
Napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha rasmi kwamba mimi, Emmanuel Ntobi, bado ni mwanachama halali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na
Tumetoka kumuona Bon ( @ExMayorUbungo) gereza la Segerea akiwa mwenye tabasamu kuliko sisi!!
Binfsi, namshangaa (muonekano) kanyolewa kipara cha wembe, ndevu wameziacha. Ananiuliza "Ngosha vipi?" Kwa sauti yake nene ya kukwauza!
Namwambi "Mwanetu, upo hapa gerezani si kwa
Nimeshafika nyumbani kwa Bon hapa Mbezi Msakuzi -sisi kama familia, tumejipanga wanapokuja kufanya upekuzi wao. Wasije kuweka kitu hapa tumejipanga.
Mke,watoto na familia wana ari nzuri, muhimu tunataka Bon awe mwenye afya njema. Maandamano yapo pale-pale #FreeBon
UPDATE 16 :03 KISUTU
Jopo la mawakili sita (waliofika muda huu) likiongozwa na Mhe Peter Kibatala, tayari lipo hapa katika Mahaka ya Mkazi Kisutu kwa ajili ya kumtetea Mhe Boniface Jacob. #ZuiaUtekati#NeverNeverAgain
Kumekuchaa! Kundi la EDGE la Umoja wa Falme za Kiarabu limesaini makubaliano ya ushirikiano na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa maonyesho ya ulinzi ya IDEX Tarehe 21 Februari 2023 huko Abu Dhabi. Okay waTanganyika Mpoooo?!!!! chahali.medium.com/waarabu-wasain…