Sem
49.2K posts
- Abiria aliyelipa nauli yake kwa mpesa tafadhali arudishe muamala wake ashuke akatoe hela mwenyewe kwa wakala kabla hatujaanza safari.
- Mchungaji David Mbaga ana ujumbe wenu viongozi wa dini mnaochanganya mambo.
00:00 - Kipindi hichi cha COVID-19 kimenifanya niwaangalie viongozi wa dini wa Tanzania kwa jicho tofauti.
- Style ya Nyerere ukimpelekea majungu: Anakuita urudi kwake siku nyingine, ukifika unamkuta yule uliyemfitini naye yupo. Anakwambia: "hebu rudia mbele ya mwenyewe yale maneno uliyoniambia siku ile." Baada ya kufanya hivyo mara kadhaa, watu waliacha kujikomba kwa kumpelekea majungu
- As always, peaceful transition of power in Tanzania. 🇹🇿
- Ukiulizwa unakaa wapi ukajibu Kigamboni ghafla watu wanakuwa wakarimu kwako.... "bill yake ya vinywaji lete kwangu." 🤔🤔🤔
- Kama umeiona hii tweet basi huisomi kwa bahati mbaya. Kuna mazuri yatakujia wewe hapo ulipo. Ndiyo, wewe unayesoma haya maandishi. Mungu yuko nawe.
- Mama SSH @SuluhuSamia mbunge wangu mpendwa @DocFaustine namsemelea kwako leo analazimisha tutumie VPN humu twitter. Yeye na TCRA wanajidai hawajakusikia vizuri.
- Kutoka Moshi: @Bongo_Zozo apokea kwa moyo mkunjufu jukumu lake jipya la ubalozi wa utalii alilopewa na @HKigwangalla. Aahidi kuitangaza Tanzania nchini UK.
00:00





