Leo ni kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa ambayo hata @chapo255 haijui zaidi ya kuniandika habari za kipumbavu na kuaminisha UMMA ujinga,sijamsamehe mpaka atakaponiambia alipotoa taarifa alizoandika juu yangu....Kama anadhani kuniblock ndio solution mwambieni Dunia Mtaa.
Mtoto wa kiume anafanya mambo ya kike mitandaoni halafu anapata comments,views na likes nyingi toka kwa wanawake na yeye anaendelea tu.
#KomboaMtotoWaKiume
Msilazimishe nimtambue mtu,sijapost interviews zao ila wao wanapost zangu.
Mdwanzi kayataka halafu anaenda kujiongelesha aonewe HURUMA na UMMA,nenda studio we si msanii?
Interviews za kujidhalilisha mambo yenu ya ndani wanawapa ila shows za kuwalipa muendeshe maisha yenu wanawatosa na bado mkifika redioni mnafunguka utadhani baada ya hapo watawalipa kumbe kujichoresha tu.
Huyo ADAM MCHOMVU mwenyewe anayekuongopea alishawahi kununua SAUTI YA JOGOO akawa nayo kwenye gari mpaka imechubuka na hapigi REDIONI,nilimuuliza akasema hajui tatizo....That's when I stopped fucking with them...Eti leo wewe ndio unatimiza ndoto zako kupitia waliojaribu kutuua.
Media za Bongo bwana,eti Roma katoa ngoma halafu kakimbia....Kwa lipi la ajabu aliloimba kwenye huo wimbo alioutoa kabla hajaondoka?Mbona hamna cha kustaajabisha at least hata nyimbo za zamani au angekimbia ilipotoka ZIMBABWE...Acheni kukuza mambo kwenye MKOMBOZI nini cha hatari?