user avatar
Salama Zalhata Jabir
@EceJay
Pronounced - sah-LAH-mah Moon. To πŸŽ₯ or 🎧 to #SalamaNa Pls Click πŸ”—
Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2010
Posts
  • Pinned
    user avatar
    Can’t wwwwwait to see you @ManUtd I love YOU. πŸ˜‰
  • user avatar
    πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
  • user avatar
  • user avatar
    Mapenzi si kuhusu muonekano, kwamba mpenzi wako ana six packs na anaweza kubeba tembo, au chuchu saa sita na tumbo flati kama TV ya bar kali. Mapenzi ni kupeana tafu, kuongozana na kuwashiana taa kwenye giza, kama atakua na muonekano mzuri basi ni BONUS! Using’ang’ane na LOOKS!
  • user avatar
    We’re going to WEBLEEEEEYYYY….
  • user avatar
  • user avatar
    CHAMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
  • user avatar
  • user avatar
    Huna pesa? Maisha magumu? Mipango haisogei? Milango ya kugongwa ni ya shaba? Madeni hayalipwi? Ulokua/Ulichokua unakitegemea/unamtegemea hakueleweki? Munange you’re not ALONE. Keep going. Usiwe myonge, YATAKUA TU, In Shaa Allah!
  • user avatar
  • user avatar
    Nimeamua… Kurudi TENA kwenye RADIO. Mapenzi yangu KWAKE HAYAKUWAHI KUCHUJA.
  • user avatar
    Dharau KUBWA ni kumtoa mtu out alafu unaishia kuinama kwenye simu yako NUSU na robo ya muda wote.
  • user avatar
    SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA SIMBA
  • user avatar
    β€˜No one can stop reggae…’