Chadema wana Haki ya kuandamana na kusikilizwa, na kulindwa na jeshi la polisi,, yawe ya Amani, hakika wao ni waathirika wakubwa kwenye utekwaji,upoteaji wa wanachama wao.
Tofauti za itikadi za Chama, zisitugawe kwenye mambo ya msingi ya NCHI,, #Mauaji na #Utekwaji wa raia yeyote inatakiwa kupingwa vikali na wananchi wote bila kujali Uchama.