Huwezi amini kaka yangu ndo alikua ndo dereva wa hy special hire na amefariki papo hapo Mungu ailaze roho ya kaka yangu mahari pema peponi
Aidani kisoli umelala kaka😭💔.
Hii ajali imetokea Muda huu maeneo ya Chalinze apo ikihusisha Costa ya SPECIAL HIRE iliyokuwa imebeba maiti kupeleka mkoani uko imegongana na lori.
Poleni sana jamani Mungu awatie nguvu sana apo,
Taarifa kamili itatolewa baadae na mamlaka husika.
Tumefanikiwa kumuhifadhi😭 ndugu yetu pamoja hakika nawashukuru sana kwa moyo wenu mzuri mlio nionyesha hasa kwenye huu msiba wa kaka yangu Aidani kisoli hakika nyie ni zaidi ya familia Mungu azidi kuwabariki na muendelee na moyo huo huo🙏🏻
Amella kwenye nyumba yake ya milele💔