user avatar
Adventure-360
@Adventure_36
Lawyer, Human Rights Activists, @simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter ๐ŸšŒ
Joined February 2020
Posts
  • Pinned
    user avatar
    Mafanikio ya halali ni mchakato, hatuwezi kufanikiwa wote kwa muda mmoja na kila mtu atafanikiwa kwa njia zake na wakati wake. Muhimu kuwa na subira tu.
  • user avatar
    Retweet kwa Like kwa YANGA SIMBA
  • user avatar
    Hii picha haiwezi kutrend kwasababu hayuko uchiii.
  • user avatar
    Rest in Peace John Pombe Magufuli nisamehe mzee kama niliwahi kukusema vibaya ๐Ÿฅฒ๐Ÿ•Š๐Ÿ•Š
  • user avatar
    Like kwa Retweet kwa Phiri Mayele
  • user avatar
    Sema Harmonize nyieee ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ
  • user avatar
    Moja ya Madereva wanaofanya kazi katika basi la Tilisho Safari's appreciation tweet kwako pambana dada angu.
  • user avatar
    Maajabu hiyo meza haina pombe hata moja ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
  • user avatar
    Bachelor of Laws ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
  • user avatar
    Mkumbusheni Diamond kwenye hiyo mipango yake ya kutoa mawe back to back asiwasahau hawa jamaa watamshangaza, Saiv ukisikia tu "Chino wana man" ujue kimenuka ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
  • user avatar
    Watu wako safarini ukafika muda wa Swala dereva ikabidi asimamishe gari watu waswali alafu safari ndo iendelee. Hii unyama sana ๐Ÿ’ช
  • user avatar
    Irene Uwoya hela anatoa wapii? ๐Ÿค”๐Ÿค”
  • user avatar
    Retweet kwa Like kwa Simba Yanga
  • user avatar
    Naombeni Elimu kidogo, Kwanini Yanga hayupo kwenye hii list? Na alicheza hadi Fainali kombe la Shirikisho