Ronaldo - magoli 900
Messi -magoli 835
messi anatakiwa kufunga magoali 65 ili awe sawa na Ronaldo kuanzia sasa kama Ronaldo hatoongeza goliπ€¦
ππ§πππππ§ πΈ
55K posts
Who cares?π¦
Born November 3
Joined October 2023
- π₯Hawa madogo kuna mistari ya ngoma yao wanatesa nayo sana kule mjini tiktokπππ€¦. Video nimekuwekea kwa comment π
- Happy birthday to me...!βοΈ Dua zenu wakuu uwe mwaka wa kheri, tupate kutembelea miguu minneπ
- Michael Gerard Tyson- maarufu kama mike tyson, Amezaliwa (juni 30, 1966) mji wa brooklyn new york.
- Wanangu yupi mwenye ushawishi mkubwa sana humu X?? #TajiriLaKihaya. Or. #GSM_waX @EsirEid. @ze_mandevu
- βοΈMatema beach, mbeya Tzπ₯ Visit or skip?
- Nyuma ya kila unachokitamani na kukionea wivu kina historia usiyoijua, tuifundishe mioyo yetu kukinai tusivyoweza kumiliki....! MORNING X FAMILY βοΈ
- βοΈMtu anakuambia nitumie picha unamtumia kama hiiπ, afu anakujibu mbwa kapendeza sanaπ₯Άπ
- Kesho majirani zangu wanapiga disco la mahafali yao usiku kucha..π, napokea wageniππ
- Namuona vanilla mbali sana japo tulimkataa mwanzoKuna WanaMuziki ukiwashirikisha hujutii kabisa kuwapa Kolabo... MOPAO humu ndani ππ½ Acha niirudie tena, hii ni zaidi ya ngoma π₯
- βοΈAngalieni EATV nahojiwa wananguπ₯²
- Kaachika mara nne ndani ya miezi 11 π anastahili ilo jina alilochagua aseeπΆπΆπΆ





















