Hawa jamaa wote huwa wanavaa uhusika wa kike katika shughuli zao za uigizaji.
Unahisi ni kwanini Joti haongeleki sana katika hiyo inshu kuliko Dullvan😁
Huyu jamaa ni profesaa wa kiwanda cha Media Bongo,naweza kusema huyu ndio Ruge wa sasa🙌🏽
Leo nimesikiliza EFM kiukweli sijaona Pengo la wale jamaa wawili😂
Sitaki maoni hapa maana hayawezi badilisha mtazamo wangu 😂😂😎
BAADHI YA KOLABO ZILIZOKUWA NA MANUFAA KWA MUZIKI WA BONGO👇🏽
NB:"hizi ni chache tuu kati ya nyingi zilizopo"
#ParachichiFM
Diamond Platnumz & Omarion~African Beauty