Mamba@Vandersun21Oct 31, 2024Ona mashoga yakiwa yanapiganaa 😂😂 x.com/fightinghabits…2210108383257K257K
Mamba@Vandersun21Dec 23, 2024"Mambo yakikuzidi shirikisha watu" Upate mawazo tofauti tofauti na dio kukimbilia kufanya maamuzi sio mazuri.✍️292931314848992992
Mamba@Vandersun21Jan 3, 2025Vijana tunapitia mengi sana katika harakati za mafanikio, mambo yakikuzidi usiache kushirikisha ndugu jamaa na marafiki wako wa karibu ili kuweka afya ya akili sawa.💯2929333342421.4K1.4K