upinzani hautokufa. utaimarika ili iifanye ccm ilazimike kuuwa, kuteka, kujeruhi na kuweka watu gerezani wengi zaidi ili iweze kujipatia ushindi. upinzani nchi hii utaimarika zaidi ili iigeuze ccm badala ya kuwa chama cha siasa kiwe ni kikundi cha magaidi. sema amen!