Pinned
Godbless E.J. Lema
12.9K posts
Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father
Joined March 2017
- Nimekamatwa na Jeshi la Polisi Arusha, mpaka sasa sijajua kosa langu. Niko naelekea Kituo kikuu cha Polisi Arusha .MSIOGOPE
- Hongera Mh John Mnyika Katibu Mkuu Wetu Mpya na Amani Golugwa Naibu Katibu Mkuu Bara. Proud of you guys.
- Tafadhali anayemjua huyu Mzee naomba amlete nimsalimie.Zawadi nono itatolewa.Ninaweza ku imagine hali yake ya maisha.Pls kama unamjua tafafhali tuwasiliane.Hakukimbia mvua wala baridi.Thank you Dingiii.
- Nimeona hii ratiba mahali .... Lissu katoka Kariakoo sasa anapita Mabibo kwenda kununua ndizi pale Mahakama ya ndizi halafu ataenda Ubungo kukata tiketi ya shangazi yake ana safiri kesho.
- Nimekutana na this beautiful daughter Nyamswa Bunda , and yeah , tuka fall in ❤️ kabisa. Beautiful Kid.
- Usimguse mpakwa mafuta wangu.
- Ataondoka nyumbani akifika miaka 18 .Nahesabu ...bado miaka mitatu.
- Hivi karibuni nitatoa onyo kali kwako January na nitakukumbusha kuwa wewe ni Waziri na sio First born wa Mh Rais SSH.Kiburi kitashushwa.
- Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani mliyopewa na wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu. Nimefurahi sana mmeshinda. Retweet this message siku ya Jumatano. Mimi nitakuwa busy na furaha siku hiyo.
- Kuna uvumi mitaani kuwa nimekamatwa.Msiogope hata kama wanao vumisha nia yao ni kuwatisha.Kwa jinsi Nchi ilivyo sasa kukamatwa, kufungwa, kupigwa na kuuwawa sio mambo ya kutisha tena.Binadamu anaweza kuua,lakini Mungu ndiye ana hukumu baada ya kifo.Muogopeni Mungu na sio binadamu














