Replying to @anuskills32010 headmaster aliacha gari lake ON nikaingia chap kisha hiyoo kwenye ukuta wa fence, nikatoka mbio mlinzi aliniona ila hakujua, kengele ikapigwa boys wote mstarini, walikagua hadi moyo kujua nan moyo wake unadunda zaidi, walidaka bwege moja lilikuwa linLia likabeba msalaba. ๐