Peter Madeleka
14.2K posts
Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers
Tabora, Tanzania
Joined April 2021
- Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta HAKI ya SATIVA.
- HONGERA SANA kaka yangu β¦@godbless_lemaβ© kwa KAZI KUBWA na NZURI uliyoifanya. Pokea π·ππΉ tafadhali.
- Mimi PETER MADELEKA, NATANGAZA RASMI, kwa wale ambao HAMJUI MSIMAMO WANGU, kwamba; NINAMUUNGA MKONO βSIMBAβ TUNDU LISSU β¦@Lissu_2025β© kwa kuwa ANAFAA KUWA, SI TU, MWENYEKITI WA CHADEMA, BALI, RAIS WA TANZANIA. Sifa zote ANAZO.
- Nyie MLIOTUMWA, sikilizeni. Hizo FEDHA kiasi cha TZS 30 MILIONI ambazo MMETUMWA MNIHONGE ili βMUME WA AFANDEβ ASITAJWE MAHAKAMANI, sina SHIDA nazo. Mashahidi wetu WATAMTAJA. Halafu mimi nitakwenda DODOMA kwa βBUKU BUKUβ zitakazochangwa na WAPENDA HAKI.
- Nikiwa na TUZO yangu ya Wakili BORA wa Mwaka 2023-2024 ALIYEIHUDUMIA JAMII (Community Service Award) leo tarehe 1 Agosti 2024 mjini DODOMA.
- JENERALI Tundu Lissu ndiye KIONGOZI wa VITA YA MABADILIKO.
- Ndugu zangu WATANZANIA, nimelazimika KUAMKA USIKU HUU WA SAA SABA, baada ya kuona huo MZAHA hapo π. Natoa WITO kwa kila MPENDA HAKI kujitoa iwezekanavyo ili HAKI ya BINTI WA YOMBO ipatikane. Mimi NIPO TAYARI, NIWEZESHENI.
- Ikiwa WATANZANIA na WAPENDA HAKI wataridhia, nipo TAYARI, kuchukua WAJIBU wa KULISHITAKI Jeshi la Polisi kwenye MAHAKAMA YA KIMATAIFA, kwa KUVUNJA HAKI ZA WANACHAMA WA CHADEMA, kinyume cha MIKATABA YA KIMATAIFA kuhusu HAKI ZA KISIASA. TUACHE KULIALIA. Twendeni KIMATAIFA.
- Licha ya kutoa MCHANGO MKUBWA SANA katika MAENDELEO ya SIASA ZA MAGEUZI katika Kanda ya KASKAZINI, wewe GODBLESS JONATHAN LEMA, uliamua KUTOGOMBEA TENA nafasi ya UENYEKITI WA KANDA. Hongera sana kwa KUAMINI kuwa, βNA WENGINE WANAWEZAβ. Chukua π·ππ· yako β¦@godbless_lemaβ©
- Shirika la Kimataifa la Kulinda Wapigania Haki (DEFENDDEFENDERS) lenye Makao yake Makuu mjini GENEVA, USWISI, limemtaja WAKILI PETER MADELEKA kuwa MPIGANIA HAKI BORA NCHINI TANZANIA kwa MWEZI JULAI 2024.














