user avatar
Mwanahamisi Singano
@MSalimu
Global Citizen PanAfrican Feminist. Informed and Concerned Citizen. Gender, Governance and Climate Justice Expert. Opinionated woman & mother of 3
Tanzania
Born February 18
Joined December 2011
Posts
  • Pinned
    user avatar
    Wanasiasa na viongozi wanapoamua kutunushiana misuli inayoumia ni demokrasia na sisi wananchi. Tujifunze kuachiana nafasi kila mtu afanye yake. Sisi watanzania, hatutaki kurudi kule tulikotoka. Tunatamani, tuishi kwa amani na uhuru wa kufanya yale tuliyo na haki nayo.
  • user avatar
    Mh @umwalimu jana binamu yangu amefariki. (Allah amrehemu) Aliumwa akalazwa muhimbili, week ago, akapata afueni akaruhusiwa, kurudi nyumbani akazidiwa. Wakamrudisha Muhimbili wakakataa kumpokea, wakampeleka TMJ, Hindu Mandari, Regence, mpaka Amana wamemkataa akafariki njiani.
  • user avatar
    00:00
  • user avatar
    Mh Rais @SuluhuSamia umekiri kuwa hali ya kiuchumi si nzuri sana. Nikuombe sana, punguzeni sherehe za serikali. Kila siku aidha kuna uzinduzi, mkutano, etc. Mnapotwambia hali ni ngumu tuanze kuiona na kwenu. Hizi flash and shiny events zipunguzwe ili mtupunzuzie mzigo wa kodi.
  • user avatar
    Makamu mwenyekiti @TunduALissu tunaomba kesho ukatununulie samaki soko la feri..
  • user avatar
    They broke his body but NEVER his spirit. Son of the soil... he is back where he belong, home. #Tanzania #TunduLissuHomeComing
  • user avatar
    Kwakuwa mgombea uraisi wa chama tawala amesema kuwa majimbo yatakayochagua upinzani hayataletewa maendeleo. Basi wananchi wa majimbo hayo wasitozwe kodi yoyote, au kodi zao zisipelekwe serikali kuu - wajiletee maendeleo yao. Kuwatoza kodi na kutowaletea maendeleo ni unyanganyi.
  • user avatar
  • user avatar
    Anasema "Shida yangu raisi. Nampenda @TunduALissu Niongee tu ukweli" Good morning Tanzania
    00:00
  • user avatar
    Kati ya mwaka 2008 mpaka 2010 niliishi nyumba hii kilwa masoko. Haikuwa rahisi kwa watu wangu wa karibu kunielewa kuwa nimekubali kupangiwa kilwa kama kituo changu cha kazi. Miaka 15 baadae nimerudi kuitazama safari yangu ya maisha. All I can say ni Alhamadulilah maisha popote
  • user avatar
    Hivi hii story ya kwamba wanaume wa peponi kila mtu anakuwa na wake 70 ni kweli?
  • user avatar
    So... Muheza, shughuli inaanza?
  • user avatar
    Leo nimeamka na mzuka wa kufollow watu... Please let me know you hapa kwenye reply, the nikufollow..
  • user avatar
    Siku nikipotea semeni tu twamtafuta mdada mwenye pua yake private...