Dem Humu X standard kibao ile biashara kumbe ni zuga?😂bajeti ya elfu hamsini hapo mmekula ,mmelipia gest na posho yake hapo hapo 😁ndio maana anajipost sana!?
nimtag?au mnamjua?
Leo Tuangalie makundi ya wahuni 🇹🇿TZ yalio sumbua .
Dareslamu:Panyarodi
Tunduma:watoto wa mbwa
Mtwara: jiwe fatuma
👇ongezea makundi unayo yajua Tz tupe na story
Binafsi mtu alie fanya nikajiunga Twitter ni @IAMartin_ uhodari wake wa kupiga sana, kujenga hoja na kusimamia haki nilikua nasikia kabla sjajiunga 😎katikati alipoa kidogo
Nikataka nifute Twitter ghafla kijiti akakipokea Mwamba @EsirEid Oya Mungu awalinde✊
Yaani Humu Ndani Nilicho Gundua Bora umseme waziri au M bunge ila sio umseme vibaya @EsirEid au @MSAFWA_OG kinachonishangaza sio wao wanao pigana iyo vita uliyo anzisha Bali ni wapwa wanapeleka mafaili yako 😂 Tajiri punguza kuwapa hela vijana.
Wana X kama una mjua huyu Bro mwenye acount hii @StephenVenance2 Amefariki Dunia Jumapili tulikua nae kitaa ni mzima ila leo saa12 asubuh taarifa zinasema kanyosha😥😭wanangu Tusali sana🙏
SI umeona unaposti post zako hupati engagement?sio kwamba watu hawaoni ukitaka ujue post zako zinafatiliwa kanyaga miradi ya watu wanaharakati 😂,machawa, wasimbe famous,gusa machoko
Hii Dunia ni hatari yaan Adi mwamvuli ☂️ tunaotegemea kutukinga wakati wa Mvua nao una lowana ☔ @MariaSTsehai na @Sativa255 kwenye haki simameni na haki mkiona mambo Mengine ni yakipuuzi hayana mashiko yapuuzieni. Uzima wenu ni wa Thamani kuliko chochote