Now that the hype is gone wacha nipeane my two cents..A whole kikuyu man defending himself with a cushion, against a woman juu Ameshika kakisu ni mchezo wa hali ya juu,jamaa angepiga iyo ukuta heady tatu nzito,akichant war songs ya maumau,hadi bibi akimbie bedroom kujifungia.
Not just kudinyana but anything shady in business .. ukipika hata mandazi na uanze kukanda unga without washing your hand huwa unaleta uchafu kwa biz and sales will go down