Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako kuhusu Kilimo na usalama wa Chakula kwa nchi za Afrika haswa hapa nyumbani kwetu Tanzania.
Nini kifanyike?
Nini kiboreshwe?
Hussein M Bashe
5,511 posts
Former Minister of Agriculture ๐น๐ฟ | MP - Nzega Urban Constituency | Farmer | Politician #TanzaniaKwanza
- A legend is Gone but he will live in our hearts FOREVER. Pumzika Mzee wetu,siku ya leo itabaki kwenye kumbukumbu zetu Asante Mungu kwa Maisha yako, Ulikua Mwalimu, Kiongozi na Baba/Mlezi wa Wengi. Umekamilisha Safari ndefu ya Maisha yako, Safari yenye Mapito Mengi na Mafunzo
- Kila la kheri kwenye hii biashara na karibu Sekta ya Kilimo. ๐ช๐พMchele tunatuma mikoa yote, Mchele mzuri sana huu. Umebaki gunia chache, ukinunua kwanzia kilo mia mbili nakupa na Perfume moja Bure.
- Replying to @zittokabweNashukuru kwa Taarifa hii nimewasiliana na Mh DC wa kibaha nimemuomba amtafute huyu mwananchi na kumsaidia kupitia SIDO na wizara ya kilimo tuna promote โValue additionโ through backyard processing hana tofauti na wale wa alizeti wanaouza Barabarani ni Jukumu letu kuwasaidia
- Ndg zangu awali nimshukuru Allah kwa yote ,Namshukuru kwa Dhati Mh Rais kwa Imani yake ,nijikumu zito nimelipokea kwa Uwezo wa Allah Tutavuka ni sector iloajiri Watanzania wengi na changamoto nyingi Nawashukuru Watanzania wananchi wa Nzega na Kwa Dhati chama changu.
- Replying to @jmkikweteUlimdhalilisha ,ulimfrustrate ,ulimbebsha mzigo usiokuwa wake uliichafua heshima yake ,na 2015 dodoma wakati wana CCM wanakuomba ukutane nae baada mkutano mkuu ulifunga milango he left CCM bcs of failure of ur leadership and not bcs of ideological difference
- Leo, ninachukua ukurasa huu kuwaomba kuwatambua vijana wanaofanya kilimo (wakulima, wazalishaji, waongeza thamani). Watag hapa tuwape pongezi.
- Tayari nimeshahesabiwa, wewe je? Nakukumbusha na kuendelea kukuhimiza kuhesabiwa leo, kwa maendeleo yetu sote.
- Salaam Ndugu Zangu Wewe ni Mkulima? Au uko kwenye mnyororo wa thamani? Tufahamiane, unalima nini na unapatikana wapi? #Agenda1030
- Kuanzia leo nikienda kwenye mikutano ya hadhara situmii salaam kama โAssalaam Alykumโ or โBwana Yesu Asifiweโ nisije nikakiletea Matatizo chama chatu CCM nakuonekana kinabagua wasiokua na Dini. โTafakuri yangu Tahadhari kabla ya Mauti โ
- Leo asubuhi nimewasilisha Kwa Katibu wa Bunge barua ya kusudio la kuwasilisha Hoja Binafsi ya kuunda Kamati Teule ya Bunge kuchunguza matukio mbalimbali yanayoonesha kutishia umoja, usalama na mshikamano wa Taifa letu.
- Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi Kama mtu Ana makosa ufatwe utaratibu wa kisheria kumkamata sio utekaji.
- Ndugu zangu nimeondokewa na mama yangu mpendwa. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un







