user avatar
George Job
@GeorgeJob14
Sports analyst
Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2020
  • user avatar
  • user avatar
    🚨BREAKING NEWS: Klabu ya @yangasc1935 imerejesha pesa(112m) zilizolipwa na Feisal Salum "Feitoto" tarehe 22/12/2022 kwa lengo la kuvunja mkataba wake na klabu hiyo. Zaidi, klabu imemuandikia barua mchezaji huyo na mamlaka za soka kutaka mkataba baina yao uheshimiwe.
  • user avatar
    Fiston to @pyramidsfc its a matter of time..confirmation to follow. @YoungAfricansSC will pocket a transfer fee of around 2B.
  • user avatar
    Ilikua ndoto ya vijana kukutana tena..finally leo imekamilika!
  • user avatar
    Kiutani utani tu tutakuja kuachwa kwenye mataa..mkuu wa masoko Chelsea na rais wa Zanzibar, Chelsea wataitangaza Zanzibar kiutalii na kujenga kituo cha soka.
  • user avatar
    Hiyo mechi ijayo mtawekewa mgeni rasmi ambae hamuwezi kugomea mechi. Akili mtu wangu.😄
  • user avatar
    Kesho mtu atauliza kwanini mnafuatilia mpira wa Ulaya zaidi kuliko kwenu? Hamna uzalendo?
  • user avatar
    Nilichokiona mpaka sasa kwenye Simba day kinatosha na kinaridhisha..itoshe kusema tamasha limefana.🙌🏻
  • user avatar
    All the best son @jobdick05 am proud of u.
  • user avatar
    Get well soon my friend..ukipona nitaitisha press ili uweze kuziongelea hizi 4.
  • user avatar
  • user avatar
    Mkude kaamua kumchana Inonga.
  • user avatar
    Watueleze tu kuwa Mandonga ni influencer wa boxing na sio pro boxer pia tuwekwe wazi kuwa fight zake ni za maonyesho sio ushindani.
  • user avatar
    Kwanini kituo cha mabasi cha Mawasiliano kina andikwa kama "simu 2000"?🧐