Professional Footballerโฝ๏ธ CLUB : ( @YoungAfricansSC ) ๐ฐ Nationality : Tanzania ๐น๐ฟ Former: Tanzania U17 & U20 CAPTAIN๐ฆ
My YouTube channel link ๐
Miaka miwili nyuma nilikuja kama kijana mdogo mkanipokea na kunikopesha imani yenu. Safari yetu pamoja imekua ya mafanikio makubwa mpaka sasa, ni furaha kwangu kuendelea kuwa sehemu ya klabu hii kwa miaka miwili zaidi. ๐ฐ
#TheCaptainShark ๐ฆ
Njia pekee ya kuwa bora katika jambo lolote ni kujifunza na kulichukua hilo funzo na kulifanyia kazi zaidi.๐ช
Haikuwa yetu ndio maana hatukuipata ila naamini siku moja itakuwa yetu Tutaipata na tutafurahia zaidi. Marufuku kukata tamaa Wananchi. ๐ฐ๐ช๐
#TheCaptainShark ๐ฆ