Unakuta mtu anapambana na maishaa takribani Mika 10 inakata then anakuja kunasa Chanel ya kuingiza pesa ya maana Mwaka wa 11...
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi,usikate tamaa....UTAFANIKIWA✊
Ukiona unafanya kazi,kipato unachokipata kinatosha Kwa kula na Kodi,na mambo madogomadogo,but huna uwezo wa ku save akiba,hiyo kazi haikufai....,umaskini utakuandama badilisha kazi, trust me 😂
Tafadhari narudia Tena ukiona kazi unayoifanya inakupa kula tu na kulipa Kodi una suasua ,huwezi save hata pesa kidogo, brothers and sisters achaña nayo tafuta kazi nyingine,unapoteza Muda na unaendelea kuukumbatia umaskini. Uwoga wako wakutafuta kazi nyingine ndio umaskini wako
Hizi nshu za kumtongoza Dem hamuendani,amekuzidi kila kitu,kuanzia Elimu,pesa hata muonekano,bro unajidhalilisha tu😂😂😂
Dem anakuomba hata 50000 unampa kalenda😂😂😂😂
Huku kujifanya Dr love yamenitokea puani,mshkaji nilimshauri amuache Mke wake kisa kamfumania,heee Jana nimepita kumsalimia nimewakuta wanakula ugali dagaa pamoja,mapenzi hayana real definition 🙏
Wala hayana real formula 📌